Picha za kampeni kutoka sehemu mbali mbali katika msafara wa Rais Kikwete wa Kampeni
Mwaka 2010 unafanyika Uchaguzi Mkuu wa Serikali ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atachaguliwa uongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitano 2010 – 2015.
Katika kipindi cha kampeni, utaweza kupata hotuba za mgombea wa urais wa CCM, Jakaya Kikwete kwa video au hotuba ilivyoandikwa.