Picha mbali mbali kutoka kwa kampeni za mgombea mwenza wa rais Kikwete, Dr. Mohammed Bilal katika maeneo tofauti
Mohammed Gharib Bilal ,mwanasayansi wa nuklia alizaliwa Unguja mwaka 1945 na kufanikiwa kumaliza elimu yake ya msingi katika skuli ya Makunduchi.
Hotuba Muhimu zilizotolewa na Dk. Mohammed Gharib Bilal, mgombea mwenza wa Rais Jakaya Kikwete.



