
Habari Mpya
Video Mpya za Kampeni

Jakaya Kikwete

Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete alizaliwa Oktoba 7, mwaka 1950
katika Kijiji cha Msoga, Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani. Ni mtoto wa
sita katika familia ya watoto tisa. Wazazi wake ni Halfani Mrisho Kikwete
(Baba) na Asha Kayaka (Mama) ambao wote wametangulia mbele ya haki.
Alipata elimu ya msingi (darasa la kwanza hadi la nne) mwaka 1958-1961
katika Shule ya Msingi Lugoba na katika Shule ya Kati ya Lugoba (darasa
la tano hadi la nane) mwaka 1962-1965.

Daktari Bilal

Mohammed Gharib Bilal ,mwanasayansi wa nuklia alizaliwa Unguja mwaka 1945 na kufanikiwa kumaliza elimu yake ya msingi katika skuli ya Makunduchi, wilaya ya Unguja mwaka 1958.
Elimu yake ya sekondari alipatia katika ya shule Beit-el-ras mwaka 1962 na kufanikiwa kuingia kidato cha tano mwaka 1963 katika skuli ya sekondari ya Lumumba, Zanzibar..
Takwimu Hazidanganyi

Kikwete Apiga Kura Msoga